Saturday, 15 August 2015

WANAWAKE NCHINI WAANZA KUSHONA NGUO KILINGANA NA VYAMA VYAO JIONEE MISHONO KUMI

Posted by Ngosha
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema Wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya mavazi yaliyo shonwa kwa kitenge uvae upendeze     Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema Wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya mavazi yaliyo shonwa kwa kitenge uvae upendeze

0 comments:

Post a Comment